Kivipi Mungu ni Mungu wa miungu, je hao miungu ni..
Kivipi Mungu ni Mungu wa miungu, je hao miungu ni..
BIBLIA NI NINI? Chimbuko la Neno Biblia, ni kutoka katika lugha ya Kiyunani, lenye maana ya “Mkusanyiko wa vitabu vitakatifu” Kikiwa kimoja kinaitwa Biblioni, lakini vikiwa vingi huitwa Biblia. Na vilizoeleka kuitwa hivyo kwasababu vitabu vya awali vya agano jipya, sehemu kubwa viliandikwa katika lugha hii ya Kiyunani, Kwahiyo vilipokusanywa Pamoja viliendelea kuitwa hivyo hivyo ..
Mwezi wa Abibu. Mwezi wa Abibu ni mwezi wa kwanza kwa Wayahudi, ambao kwetu sisi tunaotumia Kalenda ya ki-Gregory, huangukia katikati ya mwezi wa tatu (3) au Mwezi wanne (4) mwanzoni, kulingana na mwaka na mwaka. Mwezi huu ulikuwa ni muhimu sana, kwa Wayahudi kwasababu kwanza ndio ulikuwa mwezi wao wa kutoka katika nchi ya ..
Je, wanafunzi wa Bwana Yesu walienda kinyume na Agizo la Bwana wao, alipowaagiza waende ulimwenguni kote wakawafanye mataifa kuwa wanafunzi wake wakiwabatiza kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu (Mathayo 28:19), ila badala yake wakaenda kubatiza kwa jina la Yes..
Je! Ubatizo wa maji sio wa muhimu tena kwasababu ukimkiri Bwana Yesu kwa kinywa chako tu..
Je! umeingia agano..
Je! Ni dhambi kibiblia kuwaomba wafu (wa..
KANISA LA KWELI NI LIP..
Shalom, karibu tuyatafakari maneno ya Bwana wetu na Mungu wetu Yesu Kristo, yeye ambaye ametuita katika neema yake hii ya wokovu kama alivyosema katika Yohana 15:16 Si ninyi mlionichagua mimi, bali ni mimi niliyewachagua ninyi; nami nikawaweka mwende mkazae matunda; na matunda yenu yapate kukaa; ili kwamba lo lote mmwombalo Baba kwa jina langu awapeni. Na ..
Konzi ni neno la vipimo linalomaanisha ujazo wa mkono. Kitu chochote kinachojaa katika mkono ni konzi.. Utalipata Neno hilo katika vifungu hivi; Mhubiri 4:6[6]Heri konzi moja pamoja na utulivu,Kuliko konzi mbili pamoja na taabu;na kujilisha upepo. Soma pia. Isaya 40:12, Kutoka 9:8, Ezekieli 13:19, Walawi 2:2. Kwamfano katika habari hiyo, Bwana anatushauri ni heri tupokee ..