Shalom!, Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo!. Kwa kawaida mwanadamu yoyote huwa anaona njia zake zote ni kamilifu na ni sawa machoni pake mwenyewe. Lakini Neno la Mungu linatwambia. Yeremia 17:9 “Moyo huwa mdanganyifu kuliko vitu vyote, una ugonjwa wa kufisha; nani awezaye kuujua? ” Kumbe moyo huwa ni mdanganyifu kuliko vitu vyote!, ..
Author : Paul Elias
Shalom!, Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Kwa kawaida kila moyo wa mwanadamu alieumbwa kwa sura na Mfano wa Mungu. Moyo wake umejaa matamanio ya mambo mbali mbali na katika mambo hayo yapo Mazuri pia yako mabaya. Kuna yanayoonekana kuwa ni mazuri lakini ya siri isiyokuwa dhahiri mbele au machoni pa Mungu. Mfano ..
Shalom!, Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Hekima iliyokuwa ndani ya Sulemani ilikuwa ikumuongoza katika kupambanua ama kufahamu mambo mengi sana, ambayo pia kwetu yanafanyika kuwa ni msaada mkubwa sana kama tukiyasoma na kuyaelewa na kuamua kuchukua hatua.! Hivyo upo uhusiano mkubwa kati ya Uvivu na umasikini, maaana umasikini hauwezi kuja pasipokuwezeshwa na ..
Shalom nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Tukisoma katika maandiko Matakatifu Neno la Mungu linasema Yohana 4:24″Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli”. Mkristo yoyote aliekombolewa kweli kweli na Damu ya Yesu Kristo hahesabiwi haki mbele za Mungu kwa kushika siku,mwezi,Mwaka, kwa kuabudu. Hatuhesabiwi haki katika hayo!. Kuabudu ..
Shalom!, Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. KK na BK ni vifupisho vinavyotumika kuonyesha nyakati mbali mbali. KK. Ni kifupisho kinachomaanisha “Kabla ya kuzaliwa Yesu Kristo” yaani (B.C Before Christ) kwa kiingereza. Hivyo sehemu yoyote unapoona pameandikwa KK Maana yake wakati huo Kristo alikuwa bado hajazaliwa. B.K Ni kifupisho cha wakati chenye maana ..
Shalom nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Iko hatari kubwa sana kwa watoto wa Mungu tunapolisikia Neno na tukashindwa kulifanyia kazi na tukalipuuzia tu ama tukatamani kuliishi lakini tusichukue hataua zozote. Yakobo 1:22-25″Lakini iweni watendaji wa neno, wala si wasikiaji tu, hali mkijidanganya nafsi zenu.23 Kwa sababu mtu akiwa ni msikiaji wa neno ..
Shalom. Maziara. Ni sehemu ya juu ya kaburi pale mtu anapomaliza kuzikwa kile kinachokaa juu ya kaburi kama mfano wa kijumba,mnara,au hata msalaba kinachoashiria kuwa Kuna kaburi mahali pale. Maziara ni mapambo ya ziada yanayoongezwa ili kulipamba kaburi lipendeze kama vile kaburi la mwalimu Julius K Nyerere Kuna kile kijumba kilichojengewa baada ya lile kaburi ..
Shalom!, Kuungama ni kukiri/kukubali hadharani katika mkusanyiko wa waamini au baina ya watu wawili, mfano pale mtu anapoamua kuzikiri dhambi zake kwa Imani kwa kumuamini Yesu Kristo awe Bwana na mwokozi wa maisha yake, Kwa kudhamiria kabisa kuacha dhambi na kuamini huyo anakuwa tayari amepata msamaha wa dhambi na uzima wa milele, Sasa jambo hilo ..
Bwana Yesu asifiwe ndugu katika Kristo Yesu. Korbani ni neno limeonekana mara moja tu!, katika Biblia.(Marko 7:11) sasa maana yake ni nini?. Marko 7:8-13 “8 Ninyi mwaiacha amri ya Mungu, na kuyashika mapokeo ya wanadamu. 9 Akawaambia, Vema! Mwaikataa amri ya Mungu mpate kuyashika mapokeo yenu. 10 Maana Musa alisema, Waheshimu baba yako na mama ..
Shalom!, Bwana Yesu asifiwe!. Chuo cha vita cha Bwana ni moja ya vitabu vya Kihistoria ambacho kina rekodi matukio yote ambayo Bwana aliwapigania watu wake na kuwashindia. Hivyo ni kitabu kinachoelezea matendo makuu ya Bwana alivyo wapigania na kuwashindia katika vita. Kitabu hiki kimetajwa katika. Hesabu 21:13 “Kutoka huko wakasafiri, wakapanga upande wa pili wa ..