
SWALI: Naomba kuuliza, hivi katika maandiko mitume wa Bwana Wetu Yesu Kristo walibati..
Mstari huo unawahusu watu wote wanao tawala, au wenye dhamana ya kuongoza watu fulani au kundi fulani la watu, awe kiongozi wa kiserikali, kiongozi wa famalia au kiongozi w..
SWALI: Je! Ni dhambi mbele za Mungu kwa Mwanamke na mwanamume kuishi pamoja na kufanya tendo la ndoa pasipo kufunga ndoa kulingana ..
Moja ya tabia isoyopaswa kuwepo ndani yako katika siku hizi za mwisho ni na tabia ya kushindwa kutafuta suluhisho mapema kabla ubaya haujatufika. Leo kwa neema za Bwana, tutajifunza kutoka kwa Sedekia mfalme wa Yuda, ambaye alikuwa na tabia hiyo hiyo ya kushindwa kutafuta suluhisho na kulifanyia kazi mapema hadi mabaya ya..
Tunaposoma maandiko sehemu kadhaa wa kadhaa, tunagundua kuwa, watu wote waliohubiriwa injili na kumwamini Yesu Kristo, wa..
Jina kuu la Bwana Wetu na Mungu Wetu Yesu Kristo litukuzwe, nakukaribisha tena kwa mara nyingine katika mfululizo wa makala hii fupi inayoangazia makanisa na mafundisho ya uongo yanayopotosha watu wengi nyakati hizi za mwisho, tulishayatazama baadhi ya hayo makanisa na mafundisho yao p..
Lipo jambo la kujifunza katika habari ile tunayoisoma ya watu wa tohara walioleta mafundisho MENGINE KABISA KATIKA INJILI YA KRISTO juu ya watu wa mataifa kutahiriwa, na jambo lenyewe ninalotaka tujifunze ni jinsi gani mitume walivyoweza kulihakiki na kuthibitisha ukweli na uongo wa ja..
JIBU: Ndio, kijichubua ni dhambi kulingana na maandiko, mwanadamu yo yote yule anayetumia madawa yo yote au kitu chochote kile kwa ajili ya kutaka kubadili rangi ya ngozi yake ambayo Mungu alimuumba anatenda dhambi, na pia anashindana na M..
Kama wewe ni mama wa Kikristo, unaposoma maandiko kuna wanawake wengi sana ambao kwa kupitia ushuhuda wa maisha yao, kuna mengi ya kujifunza katika w..