NITAWALEMEA NINYI KAMA GARI LILEMEAVYO LILILOJAA MIGANDA Amosi 2:13 Tazameni, nitawalemea ninyi, Kama gari lilemeavyo lililojaa miganda. [14]Naye apigaye mbio atapotewa na kimbilio; Wala aliye hodari hataongeza nguvu zake; Wala shujaa hatajiokoa nafsi yake; [15]Wala apindaye upinde hatasimama; Wala aliye mwepesi wa miguu hataokoka; Wala apandaye farasi hatajiokoa nafsi yake; [16]Naye mwenye moyo mkuu miongoni mwa mashujaa Atakimbia ..
Author : Yonas Kisambu
ITAFAKARI HEKIMA YA MUNGU KATIKA UUMBAJI WAKE. Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Libarikiwe siku zote. Karibu tuongeze maarifa ya kumjua Mungu. Na leo tutajifunza umuhimu wa kutafakari hekima ya Mungu ipatikanayo katika uumbaji wake. Hekima ni nini? Hekima ni Neno pana ambalo linajumuisha elimu au ujuzi/akili au uwezo wa kupambanua, kuhukumu, na kufanya maamuzi ..
Tujifunze kanuni za Mungu Jina la Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo libarikiwe, karibu tujifunze biblia Neno la Mungu wetu lililo taa ya miguu yetu na Mwanga wa njia yetu (Zab.119:105). Ni muhimu kujua kanuni kadhaa za ndani ya biblia ambazo Mungu anataka tuzifuate ili tufanikiwe (kimwili na kiroho), Zipo kanuni nyingi katika biblia ambazo ..
JITENGE NA MKUTANO WA WATU WAOVU. Jina la Mkuu wa Uzima na Mkuu wa wafalme wa dunia, YESU KRISTO libarikiwe. Karibu tujifunze Neno la Mungu Mungu wetu. Biblia inatufundisha kuwapenda watu wote, lakini si kuambatana na watu wote. 2Wakorintho 6:14 “Msifungiwe nira pamoja na wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa; kwa maana pana urafiki gani KATI ..
TUKAJIONA NAFSI ZETU KUWA KAMA MAPANZI Shalom. Jina la Bwana Yesu Kristo libarkiwe. Karibu tujifunze maneno ya uzima ya Mungu wetu. Katika safari yoyote bila shaka huwa kuna milima na mabonde, hakuna tu mteremko kwa wakati wowote, Vivyo hivyo na katika ukristo hakuna mteremko..ni lazima ukutane tu na milima (matatizo) kadha wa kadha. Ndio maana ..
Je unayadhamini maagizo ya Bwana? Zipo maagizo ya Bwana ambayo aliagiza kwenye biblia kila mtu aliye wake anapaswa kuzishika na kuzitenda. Moja ya maagizo hayo ni pamoja na ubatizo wa maji, kushiriki meza yake, kutawazana miguu, kukusanyika kwa pamoja, na mengineyo. Lakini siku ya leo tutaangalia hiyo ya kukusanyika pamoja. Biblia inasema.. Waebrania 10:25 Wala ..
AKAMLAZA KIJANA CHINI YA KIJITI KIMOJA. Jina kuu la Bwana Yesu Kristo mkuu wa mbingu na nchi libarikiwe milele na milele. Nakukaribisha tujifunze maneno ya uzima ya Bwana Yesu. Leo tutajifunza jambo moja katika ile habari ya Hajiri Mjakazi wa Sara ambaye tunamsoma katika kitabu cha mwanzo Sura ya 21. Ili kufupisha hiyo habari, kama ..
Nitajuaje kuwa ninaomba kwa Mungu wa kweli? Shalom. Jina la Bwana Yesu Kristo mwokozi wa ulimwengu libarikiwe, utukufu na heshima vina yeye milele na milele. Karibu tujifunze maneno ya uzima. Katika somo lililopitia tulijifunza maana ya maombi..kwamba maombi ni nini na ni kwanini tuombe? hivyo siku ya leo tutaangalia ni kwa jinsi gani tunaweza tukawa ..
UVUMILIVU NI NYENZO MUHIMU KATIKA SAFARI YA MAFANIKIO. Safari yoyote ya mafanikio aidha mafanikio ya rohoni au ya mwilini inahitaji uvumilivu, bila uvumilivu mafanikio hayaji kiwepesi wepesi kama unavyotaka, hakuna bahati nasibu kwenye mafanikio ni kuwa mvumilivu, wakati mwingine utaona kama hayaji lakini ukiwa mvumilivu hakika utafanikiwa tu, Ibrahimu ambaye tunamjua kama Baba yetu wa ..
KWANINI MAOMBI Nakusalimu katika jina tukufu, jina la Bwana Yesu Kristo Mfalme wa Wafalme na BWANA WA MABWANA. Karibu tujifunze hekima ya Mungu, Neno la Mungu ambalo ni taa ya miguu yetu na mwanga wa njia zetu (Zab.119:105). Leo kwa neema za Mungu tutajifunza somo zuri linalohusu maombi. tutaangalia maana ya maombi na ni kwanini ..