Shalom nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Je? Mtu mwenye kujipendekeza ni mtu wa namna gani? Mithali 29:5Mwenye kujipendekeza kwa jirani yake, Hutandika wavu ili kuitega miguu yake’. Kabla kwenda kuutazama vizuri mstari huu ni vizuri tufahamu nini maana ya kujipendekeza? Kujipendekeza. Ni kitendo cha mtu kumsifia mtu mwingine kwa sifa nyingi ambazo ..
Author : Paul Elias
FAHAMU MAANA YA MITHALI 29:25. Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Maandiko yanasema.. Mithali 29:25”Kuwaogopa wanadamu huleta mtego;Bali amtumainiye BWANA atakuwa salama.” Je kuwaogopa wanadamu kunaletaje mtego? Na ni mtego gani huo unaweza ukampata mtu kama akiwaogopa wanadamu? Mambo mengi yanayafanya watu kwa hofu ya kuwaogopa watu wanaowazunguka. Na kuwahofu kuwa itakuwaje nisipofanya ..
Shalom nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Liko jambo kubwa sana kujifunza kutoka kwa mmoja wa wanafunzi wa Yesu Kristo. Tomaso hakuwa na tabia ya wizi,au usaliti Kama ilivyokuwa kwa Yuda Iskariote lakini iko tabia ambayo alikuwa nayo tofauti kidogo na wenzake. Lakini pia Tomaso alikuwa lazi hata kufa pamoja na Bwana Yesu ..
Shalom. Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Tukisoma katika kitabu cha ufunuo katika sehemu tofauti tofauti/sura neno hili limejirudia rudia zaidi ya mara 2. Ufunuo wa Yohana 2:17 “YEYE ALIYE NA SIKIO, NA ASIKIE neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa……” Lakini ukisoma tena.. Ufunuo wa Yohana 2 7 YEYE ALIYE NA SIKIO, na alisikie neno ..
Nakusalimu katika Jina la mwokozi wetu Yesu Kristo. Ziko ibada kuu tatu ambazo watu wengi sana katika nyakati hizi za Mwisho watu wanaziabudu pasipo hata kufahamu. Maana ibilisi amewafumba macho wasiweze kutambua. Tutazianisha hapa na kuzitazama kwa undani zaidi kwa neema za Bwana. SANAMU ZILIZOCHONGWA KWA MFANO WA MTU. 2.SANAMU-WATU. 3.SANAMU-VITU. Aina kuu hizi tatu ..
Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Kama wanadamu tunaoishi rohoni na mwilini pia ni wazi kuna mambo mengi sana yanatokea ya kutukatisha tamaa na kuona kana kwamba wakati mwingine Mungu yupo mbali na si au ametuacha lakini je ni kweli?, jibu ni la si hivyo Mungu siku zote ..
Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tujifunze maneno ya uzima. “Majaribu ni mtaji..,” kwetu sisi Wakristo majaribu ni mtaji yanayotuongezea daraja kubwa sana pale tunapofanikiwa kuyashinda.. Na bahati mbaya au nzuri siku zote unapokuwa katika jaribu ni ngumu sana kujua kama uko kwenye majaribu. Na hata unapofahamu upo katika majaribu ni vigumu ..
Shalom nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Mithali 10:25“Kisulisuli kikiisha pita asiye haki hayuko tena; Bali mwenye haki ni msingi wa milele.” Kisulisuli kwa jina lingine tunaweza kusema ni kimbunga. Ni upepo ambao huwa unajikusanya sehemu moja na kutengeneza kitu mfano wa nguzo kwenda juu. Sasa ili tuweze kupata maana vizuri katika mstari ..
Bwana Yesu asifiwe ndugu katika Kristo Yesu. Karibu tuyatafakari maneno ya uzima ya mwokozi wetu. Pale tunapookoka na kumpokea Roho Mtakatifu ndani yetu. Sasa Roho Mtakatifu ndani yetu anafanya kazi nyingi zaidi ndani yetu na tunaposoma maandiko yanasema ni MSAIDIZI. Maaana yake anatusaidia pale tusipoweza anasimama nafasi hiyo katika kutukamilisha. Kabla ya kwenda katika kiini ..
Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Swali: kwa nini Raheli aliiba miungu ya baba yake? Je alitaka kwenda kuiabudu na wakati ni makosa mbele za Mungu. Kabla ya kwenda moja kwa moja kulijibu swali hili tusome kwa ufupi kifungu hiki kidogo. Mwanzo 31:18 “Akachukua wanyama wake wote, na mali yake yote aliyokuwa ameyapata, ..