Mbegu iharibikayo ni ile ya mwili wa damu na nyama, ambayo wanadamu wote tunazaliwa katika hiyo kutoka kwa Adamu wa kwanza. Kila mtu aliyezaliwa kwa mapenzi ya mwili na damu, huyo ni mbegu iharibikayo kwa sababu, kupitia kwa Adamu wa kwanza ndipo uharibifu ulipoingia, yaani ardhi kulaaniwa, na mbaya z..