Tukisoma sura ya pili na mstari wa 14 wa kitabu cha maombolezo ya Yeremia, tunaona jinsi ambayo Roho Mtakatifu kwa kupitia maandiko hayo ya Maombolezo ya Yeremia, jinsi anavyoendelea kuomboleza hata sasa juu ya watu wake (kanisa) na juu ya ulimwengu mzima kwa ujumla kutokana na ubaya ule ..