Kumekuwa na mitazamo na mafundisho mengi sana ambayo yamekuwa yakiwapotosha watu wengi sana katika siku hizi za leo kuhusiana na wokovu au (kuokoka), mwingine atakuambia, ukisha tubu na kumkili Yesu Kristo kwa kinywa chako inatosha, ubatizo hauna maana tena kwasababu wapo watu wengi tu wamebatizwa lakini bado wanaendelea na maisha ..
Category : Uncategorized
SWALI: Naomba kuuliza, kwanini safari ya wana wa Israeli kuelekea nchi yao ya ahadi (kaanani), ilikuwa imeshamiri vita na mapigano mengi mno, kwa mfano; tukisoma maandiko matakatifu baada tu ya wana wa Israeli kupit..
Tunaposoma habari za Yoshua Mwana wa Nuni, wa kabila la Efraimu, ambaye alikuwa ni mmoja wa wapelelezi kumi na wawili (12) waliotumwa kwa mara ya kwanza kwenda kuipeleleza nchi ya kaanani, kuna jambo kubwa..
SWALI: Bwana Yesu apewe sifa, naomba msaada wa jibu la swali hili, kwanini Nuhu alitengeneza safina kwa muda wa miaka arobaini (40), mvua ya gharika ilinyesha siku arobaini, WaIsraeli walikaa utumwani kwa miaka..
Kama Kanisa la Mungu, lipo Jambo la muhimu sana tunalopaswa kujifunza kutoka katika kisa cha Nadabu na Abihu kwenye maandiko matakatifu, kwa sababu, kisa cha watu hao hakikuandikwa kwa bahati mbaya h..
JIBU: Tofauti na wengi wanavyodhani kuwa, andiko hilo maana yake ni ufuate kile ambacho unachokiona kipo sawa ndani ya moyo wako, au kama kuna jambo fulani basi ufuate kama moyo wako unavyokutuma, ndugu hicho kitu..
Karibu katika sehem..
Shalom, jina la Bwana na Mungu Wetu Yesu Kristo litukuzwe milele na milele, Yeye ni Alfa na Omega, Mwanzo na Mwisho, Aliyekuwako na Atakayekuja Mwenyez..
Hii ni Sehemu ya tisa (09) ya makala yet..
FUNDISHO MAALUMU KWA MZAZ..