Tabia ya Uungu tutakayoshiriki ni ile ya mwili wa Utukufu wa Bwana wetu, na Mwokozi wetu Yesu Kristo, ambayo katika hiyo tutaishi milele pasipo kufa wala kuugua na kutawala naye hapa duniani baada ya karamu ya Mwana-Kondoo na y..
Tabia ya Uungu tutakayoshiriki ni ile ya mwili wa Utukufu wa Bwana wetu, na Mwokozi wetu Yesu Kristo, ambayo katika hiyo tutaishi milele pasipo kufa wala kuugua na kutawala naye hapa duniani baada ya karamu ya Mwana-Kondoo na y..
Hivi ni baadhi ya vifungu ambavyo utaweza kukutana na Neno hilo. Isaya 51:7 “Nisikilizeni, ninyi mjuao haki, watu ambao mioyoni mwenu mna sheria yangu; msiogope matukano ya watu, wala msifadhaike kwa sababu ya dhihaka zao. 8 Maana nondo itawala kama vazi, na funza atawala kama sufu; bali haki yangu itakuwa ya milele, na wokovu wangu ..
Biblia ilitabiri kuwa, utafika wakati ambao Wakristo wengi watakapoyakataa (watakaposhindwa kuvumilia na kudumu katika) mafundisho yenye uzima ..
Neno la Mungu ni kinyume chake, lenyewe lipo vile vile, haijarishi dunia nzima inafanya nini ili kwenda na wakati, haijarishi wanadamu wataamini nini ili kuendana na wakati, lenyewe litabaki..
Je! Ni kweli kuwa, karama ya kunena kwa lugha haikupewa kipaumbele katika kanisa na mtume Paulo kama makanisa mengi yanavyofany..
SABURI KATIKA BIBLIA ni uwezo wa kukubali mateso, dhiki, na shida kwa ajili ya Mungu, ni uwezo wa kuvumilia ukawiaji wa ahadi kutoka kwa Mungu, pasipo kuchoka na wala kupoteza imani na tumaini k..
Moja ya vitu ambavyo biblia imevitaja kuwa ni vitu vya kukimbiwa, ni IBADA ZA SANAMU. Vingine vikiwemo zinaa na tamzaa z..
Je! Ni lazima kila tunaposali au kuomba, tupige magoti? Kwa sababu tunaona katika habari ya Danieli, biblia inasema kuwa, alikuwa AKIPIGA MAGOTI MARA TATU KILA SIKU alipokuwa akisali (Danieli 6:10) Je! Kwa sababu hiyo tuhitimishe kuwa NI LAZIMA kupiga magoti tunaposali ..
Tofauti na mahali/eneo linaloitwa Arabuni, ambalo limetajwa sehemu kadha wa kadha katika biblia, kwamfano ukisoma vifungu hivi utaliona.. Yeremia 25:24 “na wafalme wote wa Arabuni, na wafalme wote wa watu waliochanganyika wakaao jangwani”; Ezekieli 27:20 “Dedani alikuwa mchuuzi wako, kwa nguo za thamani za kutandikia farasi. 21 Arabuni, na wakuu wote wa Kedari, ndio waliokuwa ..
Tofauti na inavyofahamika au kuzoeleka, kuwa ufisadi ni kitendo cha kukosa uaminifu kwa kuhujumu fedha za shirika Fulani au taasisi Fulani, kwa lengo la kujipatia faida zako binafsi. Lakini tukirudi katika biblia Neno ufisadi limetumika kueleza tabia nyingine tofauti. Na tabia yenyewe ni uasherati, uzinzi, umalaya/ Ukahaba uliovuka mipaka, ambao haujali hata jinsia, umri, au ..