Ikiwa umeshampa Kristo maisha yako kwa kutubu dhambi zako kwa kudhamiria kuziacha na kubatizwa katika ubatizo sahihi, basi tambua kuwa, hiyo ni hatua ya awali kabisa katika safari yako ya wokovu wa nafsi yako, lipo jambo jingine muhimu sana baada ya hilo, nalo si jingine zaidi ya KUDUMU KATIKA FUNDISHO ..