Moja ya kazi ya ibilisi duniani ni kutaka kuwafanya wanadamu wadumu katika dhambi na kujifariji katika hizo, na kitu ambacho ibilisi anakitumia ili kuwafanya watu wadumu katika dhambi si kingine zaidi ya maandiko matakatifu, kumbuka, ibilisi haji na kitabu cha fizikia, au sayansi, au ..