Author : Yonas Kisambu

Kila mtu kwa mkono mmoja alifanya kazi na kwa mkono wa pili alishika silaha. Hii ni habari ambayo tunaipata katika ujenzi wa lile hekalu la pili ambalo lilijengwa na akina Zerubabeli, Yoshua, Ezra na Nehemia baada ya kumobolewa na kuharibiwa na mfalme Nebukadreza. Kama tunavyofahamu ule ujenzi ulikuwa ni wa shida sana, ulikuwa ni wenye vikwanzo ..

Read more

SISI NI SHAMBA LA BWANA. Isaya 5:7 “Kwa maana shamba la mizabibu la BWANA wa majeshi ndilo nyumba ya Israeli, na watu wa Yuda ni mche wake wa kupendeza;..” Ikiwa umemwani Yesu Kristo na ukaamua kutubu dhambi na kumfuata kwa gharama zote.. basi fahamu kuwa we ni shamba lake. Na kama we ni shamba la ..

Read more

MBIGILI NI NINI? Mbigili ni aina ya mmea inayotambaa ardhini na ambayo matunda yake yana miiba kali inayoweza kuumiza miguu na mikono ikishikwa, Maumivu yake huwa ni makali sana. Tazama picha hapo juu. Katika biblia Neno hili limetajwa katika vifungu mbali mbali. Isaya 5:5-7 “Haya basi, sasa nitawaambieni nitakalolitenda shamba langu la mizabibu; nitaondoa kitalu ..

Read more

Je umekusudiwa uzima wa milele? Matendo ya Mitume 13:48 “Mataifa waliposikia hayo wakafurahi, wakalitukuza neno la Bwana, NAO WALIOKUWA WAMEKUSUDIWA UZIMA WA MILELE WAKAAMINI.” Shalom, karibu tujifunza Neno la Mungu.. Ni jambo la kuogopesha kusikia kuwa wapo watu waliokusudiwa uzima wa milele, na wapo ambao hawajakusudiwa uzima wa milele. Na hilo linatupa picha kuwa suala ..

Read more

Jifunze unyenyekevu katika kuwaombea wengine. Jina kuu la Mwokozi wetu Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tujifunze Neno la Mungu lililo taa ya miguu yetu na mwanga wa njia zetu (Zab.119:105). Unyenyekevu ni jambo linalompendeza sana moyo wa Mungu, na leo tutaangalia unyenyekevu katika kupeleka maombi yetu mbele za Mungu kwa ajili ya wengine. Mara nyingi tumekuwa ..

Read more

BIDII YA EZRA Shalom Mwana wa Mungu, karibu tujifunze biblia. Kumbuka biblia kwa sehemu kubwa inaelezea historia ya maisha ya watu kadha wa kadha waliowahi kutokea ili tujifunze kwao yale mazuri. Kwahiyo usomapo habari za akina Nuhu, Ibrahimu, Sara, Musa, Yusufu, Ruthu, Daudi, Ayubu, Danieli, Paulo, Yohana, Mariamu na wengineo usisome tu kama hadithi ya ..

Read more

Jihadhari usipoteze nafasi ya kuingia mbinguni. (Sehemu ya pili) Kama Ukijifunza Biblia kwa undani utagundua kuwa Bwana Yesu hakuwa na wanafunzi 12 tu! Bali alikuwa na wanafunzi wengine wengi sana Zaidi ya 70 biblia inasema hivyo katika (Luka 10:1-2)…Lakini baadaye alikuja kuteua wanafunzi 12 tu miongoni mwao wakutembea naye kila mahali alikokwenda ambao aliwaita Mitume. ..

Read more

Jihadhari usipoteze nafasi ya kuingia mbinguni. (Sehemu ya kwanza) Ni vizuri tufahamu kuwa sio watu wote wanaojulikana kama wakristo wataingia mbinguni! Ni wale tu waliokuwa waaminifu mpaka mwisho ndio watakaongia katika ile mbingu mpya na nchi mpya. Na tunaingia tu kwa neema, lakini ni vizuri tuelewa mapema kuwa hii neema sio kama tunavyodhania kuwa tukishaokolewa ..

Read more

Huu sio wakati utupasao kuja! Katika ukristo ogopa sana ile kauli ya kusema “Huu si wakati”… “Bado kidogo”…. “Wakati wake utafika tu siku moja”… Ogopa sana kauli kama hizo, tena ziogope kuliko ukoma. Mara nyingi watu wengi wanapoangalia mazingira Fulani, wanaona kama vile wakati wake bado, pale mtu unapomuambia biblia inasema “saa ya wokovu ni ..

Read more

WALA MIOYO YA WATU BADO HAIJAKAZWA KWA MUNGU WA BABA ZAO. 2Mambo ya Nyakati 20:31-33 ”Yehoshafati akatawala juu ya Yuda; alikuwa na umri wa miaka thelathini na mitano alipoanza kutawala, akatawala miaka ishirini na mitano huko Yerusalemu; na jina la mamaye aliitwa Azuba binti Shilhi. [32]Akaiendea njia ya Asa babaye, wala hakuiacha, akifanya yaliyo mema ..

Read more