Ndugu, kama bado hujatubu dhambi zako na kumwamini Kristo, na unajitambua maisha yako kwa Muumba wako ni ya kusuasua, ni ya dhambi na uvuguvugu, na roho yako inakushuhudia kabisa, basi unapaswa uithamini sana nafasi ya kuvuta pumzi uliyopewa na Mun..