Lipo funzo katika habari ya mfalme Ahabu (wa Israeli), na nabii wa Mungu Mikaya mwana wa Imla, ambalo na sisi pia watu wa kizazi hiki tunapaswa kujifunza na kujirekebisha pindi tusikipo wakati huu wa sasa tukiwa hai, kwa sababu maandiko yanasema kuwa, m..