SWALI:Biblia inasema kuwa, Mungu alipomuumba mtu wa kwanza Adamu, aliona si vyema awe peke yake, hivyo akamfanyia msaidizi wa KUFANANA NAYE, je! Msaidizi huyo wa kufanana nay..
SWALI:Biblia inasema kuwa, Mungu alipomuumba mtu wa kwanza Adamu, aliona si vyema awe peke yake, hivyo akamfanyia msaidizi wa KUFANANA NAYE, je! Msaidizi huyo wa kufanana nay..
SWALI: Naomba kuuliza, je! Maandiko matakatifu yanajichanganya katika Wakolosai 3:1 na Matendo 7:56? Kwa sababu tunaona Paulo anasema Kristo AMEKETI MKONO WA KUUME WA MUNGU, lakini Luka anasema Stefano alimwona Kristo AMESIMAMA MKONO WA KUUME WA MUNGU. Sasa hapo tumwelewe nani na kumwacha nani? Kwa sababu Huyu anasema Kristo AMEKAA na huyu Anasema Kristo ..
Leo kwa kibari cha Mungu tutatazama andiko linalosema Mungu ni Roho, na ninaamini kwa neema zake nyingi utapata kujifunza ..
Huu ni mwendelezo wa makala inayoangizia makanisa na mafundisho ya uongo yanayopotosha watu wengi nyakati hizi za mwisho, kama ulipitwa na sehemu za nyuma za makala hii unaweza tutu..
SWALI: Naomba kuuliza, ni kwanini Bwana Yesu ALIJERUHIWA UBAVUNI kwa mkuki pale masalabani? Kwani asingejeruhiwa shingoni kwa ule mkuki pale msalabani? au kwanini asingejeruhiwa tumboni, au kwenye goti, au kifuani?…Kwanini iw..
Kuna jambo ambalo tunapaswa kulifahamu katika habari ya Danieli na yale maandishi yaliyoandikwa kwa vidole vya mwanadamu (kiganja cha mkono alichokiona mfalme Belshaza kikiandika katika ukuta), kwa sababu habari hiyo haikuandikwa tu kama hadithi fulani ya kujifurahisha ambayo haina funzo wala maudhui yoyote yale, bali kipo kitu cha kufahamu na kujifunza katika habari hiyo, kwani biblia inasema, kila andiko lenye pumzi ya Mungu lafaa kwa ..
Sanamu zisizonena zinazozungumziwa hapo sio kitu chochote kilichojiinua ndani ya mwanadamu kuliko Mungu hapana, bali ni zile sanamu zote zilizochongwa kwa kazi ya ufundi stadi wa mikono ya wanadamu na kisha kupambwa kwa dhahabu na fedha kwa lengo la kiibada, kuzihusianisha ..
Karibu tena kwa mara nyingine katika mfululizo wa makala hii fupi inayoangazia makanisa na mafundisho ya uongo yanayopotosha watu wengi nyakati hizi za mwisho, tulishayatazama baadhi ya hayo makanisa na mafundisho yao potofu huko nyuma katika sehemu zilizopita, hivyo, ukiona mahali ulipo katika kanisa lako ni moja wapo ya hayo, huna budi kuchukua hatua ya kutotoka katika kanisa hilo la uongo na kuachana na mafundisho yao, kwani biblia ..
JIBU: Mambo ya nyumba ambayo mfalme Hezekia aliyoambiwa kuyatengeneza sio jengo la kifalme alilokuwa akiishi ndani yake, hapana! Bali ni mambo ya mwili wake wa damu na nyama, ambao siku zote unapinga kufanya mapenzi ya Mungu, hiyo ndiyo nyumba aliyoambiwa kuitengeneza, kwani mwili huu tulio nao ndio nyumba ya maskani yetu ya hapa duniani, maandiko yanasema hivy..
Katika mstari huo mtume Petro alimaanisha kuwa, maandiko yote matakatifu ya manabii wa Mungu hayakuandikwa kutokana na mitazamo yao binafsi au mawazo yao binafsi na mapendekezo yao binafsi, hapana! Bali waliandika yote wakiongozwa na Roho Mtakatifu aliyekuwa ndani yao na si mapenzi yao, na ndio maana biblia ..