Moja ya tabia isoyopaswa kuwepo ndani yako katika siku hizi za mwisho ni na tabia ya kushindwa kutafuta suluhisho mapema kabla ubaya haujatufika. Leo kwa neema za Bwana, tutajifunza kutoka kwa Sedekia mfalme wa Yuda, ambaye alikuwa na tabia hiyo hiyo ya kushindwa kutafuta suluhisho na kulifanyia kazi mapema hadi mabaya ya..