Jina kuu la Bwana Wetu na Mungu Wetu Yesu Kristo litukuzwe, nakukaribisha tena kwa mara nyingine katika mfululizo wa makala hii fupi inayoangazia makanisa na mafundisho ya uongo yanayopotosha watu wengi nyakati hizi za mwisho, tulishayatazama baadhi ya hayo makanisa na mafundisho yao p..